Mtunzi: Ansbert Mugamba Ngurumo
> Tazama Nyimbo nyingine za Ansbert Mugamba Ngurumo
Makundi Nyimbo: Anthem | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 5,459 | Umetazamwa mara 10,731
Download Nota Download MidiKristu ni Yule Yule Yule Yule jana na leo hata milele hata milele x2
1. Yeye ndiye aliyehai ndiye aliyeko aliyekuwako na atakayekuja Bwana nyakati zote
2. Karne zote ni zake yeye utukufu wake hapa duniani pamoja na mbinguni daima milele yote
3. Jubilei ni heri kwetu, ni shangwe ya karne kwa makanisa, utukufu kwa Mungu yatukumbusha ya kuwa