Ingia / Jisajili

Kumekucha

Mtunzi: Felix Amani Wanje
> Mfahamu Zaidi Felix Amani Wanje
> Tazama Nyimbo nyingine za Felix Amani Wanje

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Samuel wachira

Umepakuliwa mara 155 | Umetazamwa mara 265

Download Nota
Maneno ya wimbo
Kumekucha kumepabazuka - ni siku njema aliyoifanya Bwana Jua limechomoza ndege walialia- “ 1. Tuimbe kwa shangwe - “ Tumuabudu yeye- Tumwimbie wimbo mpya- Vigelegele tele- 2. Kinanda ngoma tucheze – Kayamba na firimbi- Msifuni kwa matari- Zeze pia kinubi- 3. Nchi na ishangilie- Anga bahari pia- Wanyama warukeruke- Nao ndege angani- 4. Watawa washangilie- Nao mapadre pia- Waumini washangilie- Wababa wamama pia-
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa