Ingia / Jisajili

Tafadhali Yesu

Mtunzi: Felix Amani Wanje
> Mfahamu Zaidi Felix Amani Wanje
> Tazama Nyimbo nyingine za Felix Amani Wanje

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Samuel wachira

Umepakuliwa mara 18 | Umetazamwa mara 34

Download Nota
Maneno ya wimbo
TAFADHALI YESU 1. Tafadhali Yesu wangu roho yangu yakuhitaji, sijiwezi njoo Yesu njoo (Bwana) roho yangu ipone Wewe ndiwe yangu tiba, tiba ya roho na mwili, njoo Yesu njoo karibu njoo roho yangu ipone. Mwili wako Yesu wangu, ni chakula chenye uzima nayo damu Yesu wangu ni kinywaji cha roho yangu. 2. Nahisi njaa ya chakula, chakula cha roho yangu, pia ninahisi kiu (ee Bwana) ya kinywaji cha roho yangu. 3. Kaa ndani yangu Yesu nami ndani yako Bwana, kwa sababu nje yako (ee Bwana) siwezi nitanyauka
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa