Mtunzi: Alphonce Andrew Otieno Obonyo
> Mfahamu Zaidi Alphonce Andrew Otieno Obonyo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alphonce Andrew Otieno Obonyo
Makundi Nyimbo: Juma Kuu
Umepakiwa na: Alphonce Andrew Otieno Obonyo
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download Midi KUTAWADHA MIGUU YAO
Kwa kutawadha miguu yao, bwana yesu atufundisha tuwe watumishi wanyenyekevu x2
1.kwa kutawadha miguu yao bwana yesu atufundisha sio kwa vyeo wala sifa bali kwa moyo wa huduma
2.aliinama mbele yao mwalimu akiwa mtumishi 'nyenyekevu, upendo wake 'kadhihirika
3. Hatuitwi kutukuzwa bali kuosha miguu ya wenzetu kwa kila jambo faraja'o daima
4 ewe bwana mtumishi mkuu utufundishe kutumikia katika familia na jamii, tuwe wanyenyekevu kama wewe