Mtunzi: E. Kalluh
> Tazama Nyimbo nyingine za E. Kalluh
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 5,483 | Umetazamwa mara 9,886
Download Nota Download MidiKwa ajili yetu mtoto amezaliwa tumepewa mtoto mwanaume na uweza wa kifalme utakuwa mabegani mwake x2;
Mashairi:
1. Ee Mungu Mtukufu, tunakuomba leo utupe baraka.
2. Leo kazaliwa mkombozi Yesu Kristu, kwa ajili yetu.
3. Ukombozi wetu, umetimia, sasa twimbe Aleluya.
4. Atukuzwe Mungu, fadhili zake kwetu nyingi Aleluya.