Mtunzi: E. Kalluh
> Tazama Nyimbo nyingine za E. Kalluh
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Juma Kuu | Matawi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 4,148 | Umetazamwa mara 8,785
Download Nota Download MidiBaba yangu ikiwa haiwezekani kikombe hiki kiniepuke nisipokunywa mapenzi yako yatimizwe x 2.
Mashairi:
1. Ee Bwana, sisi tulioshiba mapaji yako matakatifu, Umetupa tumaini la kupata hayontunayoamini kwa ajili ya kifo cha Mwanao.
2. Tunakusihi, hapo atakapofufuka / Utufikishe huko tuendako.