Ingia / Jisajili

Kwa Bwana Kuna Fadhili

Mtunzi: Eng. Marchius Tiiba
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng. Marchius Tiiba

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Misa | Zaburi

Umepakiwa na: Eng. Epimachius Tibaijuka

Umepakuliwa mara 99 | Umetazamwa mara 159

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Kwa Bwana kuna Fadhili, Na kwake kuna ukombozi mwingi x2 Shairi 1: Ee Bwana, toka vilindini nimekulilia, Bwana, uisikie sauti yangu. Masikio yako na yaisikilize Sauti ya dua zangu. Shairi 2: Bwana, kama Wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana, nani angesimama? Lakini kwako kuna msamaha, Ili Wewe uogopwe. Shairi 3: Nimemngoja Bwana, roho yangu imengoja, Na neno lake nimelitumainia. Nafsi yangu inamngoja Bwana, Kuliko walinzi waingojavyo asubuhi, Naam, walinzi waingojao asubuhi. Ee Israeli, umtarajie Bwana. Shairi 4: Maana kwa Bwana kuna Fadhili, Na kwake kuna ukombozi mwingi. Yeye atamkomboa Israeli Na maovu yake yote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa