Mtunzi: M.s. Maduka
> Tazama Nyimbo nyingine za M.s. Maduka
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,585 | Umetazamwa mara 4,307
Download Nota Download MidiKwa furaha, kwa furaha, kwa furaha, kwa furaha na shangwe, Mtateka maji katika visima, Mtateka maji, Katika visima, Mtateka maji katika visima Mtateka maji katika visima vya wokovu x 2.
Mashairi:
1. Hamu yangu na tumaini langu ni kwako Mungu wangu ni yavune maji ya uzima, uzima wa milele yote.
2. Tegemeo la moyo wangu ni kufika kwenye kisima kisima kile cha wokovu wokovu wa maisha yangu.
3. Naukimbiliaulinzi wako Ee Mungu kwenye kisima kisima kile cha wokovu wokovu wa milele yote.
Mashairi: Isaya 12 : 2 - 6
1. Tazama Mungu ndiye wokovu wangu nitatumaini wala sitaogopa, wala sitaogopa.
2. Katika siku hiyo mtasema mshukuruni Bwana Mungu maana ametukuka sana.
3. Yajulikane haya dunia yote pazeni sauti Sayuni piga kelele, Ee Sayuni piga kelele.