Mtunzi: Jacob M. Urassa
> Tazama Nyimbo nyingine za Jacob M. Urassa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 721 | Umetazamwa mara 3,044
Download Nota Download MidiKwa jinsi ujionavyo nduvyo ulivyoumbwa tena kwa mfano wake Yesu Kristu mwokozi wetu (furaha) leo (tuimbe) shangwe (tupige) ngoma filimbi na vigelegele
Tufurahi tufurahi na Bwana Yesu x2
1. Yeye mweyewe aliona kwa jinsi hii utapendeza sasa mbona wewe wamsahau Bwana Mungu ako aisahau haya sabato siku ya kumshukuru Mungu
2. Tusijiongezee vitu vingine ndugu vya kujipamba njoo kwake Bwana Yesu atakakupamba upendeze ili ueze kufika kwake Mungu kwenye uzima milele
3. Ni Yesu Kristu pekee aliye na upendo zaidi katuandalia karamu kabla ya mauti yake kaibariki kila tuilapo tupate uzima milele
4. Ulapo bila kustahili ndugu ungoje hukumu yako alisema mwenye moyo safi ajongee mezani siku ile ya hukumu nitamuita kwenye ufalme mbinguni