Mtunzi: Jacob M. Urassa
> Tazama Nyimbo nyingine za Jacob M. Urassa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 10,507 | Umetazamwa mara 15,331
Download NotaEnyi wakristu wapenzi njoni Bwana anatualika kwenye karamu x2
Kwanza ndugu tazama meza yake inavyopendeza yeye Bwana na wateule wameizunguka meza yake
Haya ndugu sismama nawe ushiriki x2
1. Njoni Bwana atuita meza yake sasa itayari haya simama nenda nawe ushiriki
2. Kama wewe wastahili fanya hima ukampokee ndicho chakula chenye uzima milele
3. Yeye anilaye mimi atakuwa na uzima mpya siku ya mwisho mimi nitamfufua
4. Yeye katuandalia masikini pia matajiri ukarimu gani Bwana Yesu alionao