Ingia / Jisajili

Kwa Kuwa Wewe U Mwema

Mtunzi: Joseph D. Mkomagu
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph D. Mkomagu

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Gaudence Mtui

Umepakuliwa mara 3,610 | Umetazamwa mara 8,258

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kwa kuwa wewe Bwana u mwema Bwana u mwema x2
Umekuwa tayari umekuwa tayari, umekuwa tayari kusamehe, umekuwa tayari kusamehe.

  1. Mataifa yote uliyoyafanya watakuja, watakusujudia wewe Bwana watalitukuza jina lako kwa kuwa ndiwe uliye mkuu wewe ndiwe mfanya miujiza ndiwa Mungu peke yako.
     
  2. Lakini wewe Bwana u Mungu warehema na Neema, mvumilivu mwingi wafadhili na kweli, unielekee unifadhili mimi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa