Mtunzi: Dr. Alex Xavery Matofali
> Mfahamu Zaidi Dr. Alex Xavery Matofali
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Alex Xavery Matofali
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alex Xavery Matofali
Umepakuliwa mara 1,481 | Umetazamwa mara 3,722
Download NotaKwa maana wewe u mwema (u mwema) umekuwa tayari kusamehe x2
1. Wewe Bwana u mwema umekuwa tayari kusamehe.
2. Na mwingi wa fadhili kwa wale watu wote wakuitao.
3. Usikie sauti yangu maombi yangu an dua zangu.
4. Wewe ndiwe mkuu mfanya miujiza Mungu pekee.
5. Mungu mvumilivu, nielelekee mimi unifadhili.