Ingia / Jisajili

Kwa Mateso ya Msalaba

Mtunzi: Maximilian L. Bukuru
> Mfahamu Zaidi Maximilian L. Bukuru
> Tazama Nyimbo nyingine za Maximilian L. Bukuru

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Maximilian Bukuru

Umepakuliwa mara 19 | Umetazamwa mara 98

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MASHAIRI 2.} Yametimia Mapenzi Yako Mungu Bwana wangu, (kuteswa) kuwekwa juu ya Mti mka(Mti mka)vu. 3.} Kwa hiari kuu ya Moyo Wayakubali Mateso, (Ili ku) nikomboa toka dhambi(mbini dhambi)ni. 4.} Ninaomba nguvu Bwana, nistahimili mateso, (niweze) kuwa chachu ya Ukombo(mbo Ukombo)zi. 5.} Ninafunga msalabani dhambi na uovu wangu, (ili vi) sulubishwe pamoja Na(pamoja Na)we. 6.} Utumwani nimezama, dhambi inanisakama, (tamaa) mbaya yanisumbua sa(sumbua sa)na.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa