Mtunzi: Maximilian L. Bukuru
> Mfahamu Zaidi Maximilian L. Bukuru
> Tazama Nyimbo nyingine za Maximilian L. Bukuru
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana | Zaburi
Umepakiwa na: Maximilian Bukuru
Umepakuliwa mara 264 | Umetazamwa mara 1,268
Download Nota Download MidiKIITIKIO
(Bwana Mungu Amepaa Kwa kelele za shangwe Bwana kwa sauti ya Baragumu.)x2
MASHAIRI
1. Enyi watu wote pigeni makofi, mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe
2. Kwa kuwa Bwana Aliye juu ni Mwenye kuogofya, Ndiye Mfalme Mkuu wa Dunia yote
3. Mwimbieni Mungu naam imbeni, Muimbieni Mfalme wetu naam imbeni kwa akili.