Mtunzi: Fulgence Stanslaus Matemele
> Tazama Nyimbo nyingine za Fulgence Stanslaus Matemele
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Fulgence Stanslaus
Umepakuliwa mara 8,149 | Umetazamwa mara 17,166
Download NotaLakini hata sasa asema Bwana nirudieni mimi kwa Mioyo yenu yote x2 Kwa kufunga na kwa kulia pia na kwa kuomboleza larueni Mioyo Mioyo yenu wala si Mavazi yenu x2
1. Mrudieni Mungu wenu kwa maana ndiye mwenye neema amejaa Huruma si mwepesi wa hasira ni mwingi wa Huruma.
2. Zitubuni dhambi zenu usafisheni uovu wenu badirini nia mbaya naye Mungu wenu wa Huruma atawasameheni.
3. Pigeni Tarumbeta katika Sayuni takasa saumu kusanyeni Watu wote pazeni sauti kwa Majuto naye atasikia.
Contacts:-
Fulgence S. Matemele,
S. L. P 128,
Sumbawanga.
0764243913