Mtunzi: Fulgence Stanslaus Matemele
> Tazama Nyimbo nyingine za Fulgence Stanslaus Matemele
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Fulgence Stanslaus
Umepakuliwa mara 583 | Umetazamwa mara 2,007
Download NotaMacho yetu humwelekea Bwana Mungu wetux2 Hata atakapoturehemu, hata atakapoturehemu, hata atakapoturehemu turehemux2
1. Nimekuinulia Macho yangu wewe uketiye Mbinguni (Mbinguni) kama vile Macho ya Watumishi kwa Mkono wa Bwana zao
2. Kama Macho ya Mjakazi kwa Mkono wa Bibi bibi yake (Hi-vyo) Macho yetu humwelekea Bwana Mungu wetu hata atakapoturehemu
3. Uturehemu Ee Bwana uturehemu sisi kwa maana tumeshiba dharau. Nafsi zetu zimeshiba mzaha wa wenye raha na dharau ya wenye kiburi