Mtunzi: Alphonce Andrew Otieno Obonyo
> Mfahamu Zaidi Alphonce Andrew Otieno Obonyo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alphonce Andrew Otieno Obonyo
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Alphonce Andrew Otieno Obonyo
Umepakuliwa mara 15 | Umetazamwa mara 19
Download Nota Download MidiLALA MWANA WA MUNGU -by alphonce OBONYO
Amezaliwa mwana wa mungu kule mjini bethlehemu, kwenye hori amelala mwana wa mungu )x2
(lala x5 mwana wa mungu)x2
1.Yeye ndiye mwana wake mungu, atakaye tukomboa toka dhambini
2. ndiye mwana wa daudi atakaye kuwa mfalme wa amani
3.ndiye mungu mwana aliyekuwa atakayekuwa mulele alfaomega
4.ndiye mtetezi ya wanyonge atakaye kweza maskini toka vumbini