Ingia / Jisajili

Leo Amezaliwa

Mtunzi: Emmanuel J. Kafumu
> Mfahamu Zaidi Emmanuel J. Kafumu
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel J. Kafumu

Makundi Nyimbo: Noeli | Epifania | Mwaka Mpya

Umepakiwa na: Emmanuel J Kafumu

Umepakuliwa mara 2,022 | Umetazamwa mara 3,940

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Leo amezaliwa kwa ajili yetu, mwokozi ndiye Kristu, Kristu Bwana. x2

1. Mwimbieni Bwana wimbo mpya, mwimbieni Bwana nchi yote, mwimbieni Bwana      libarikini jina lake.

 

2. Tangazeni wokovu wake, wokovu wake siku kwa siku, wahubirini mataifa habari         za utukufu wake, na watu wote habari za maajabu yake.

 

3. Mbingu na zifurahi, nayo nchi na ishangilie, Bahari ivume na vyote viijazavyo            mashamba na yashangilie na vyote vilivyomo, miti yote ya mwituni iimbe kwa            furaha.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa