Ingia / Jisajili

Leo Amezaliwa

Mtunzi: Emmanuel J. Kafumu
> Mfahamu Zaidi Emmanuel J. Kafumu
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel J. Kafumu

Makundi Nyimbo: Noeli | Epifania | Ubatizo

Umepakiwa na: Emmanuel J Kafumu

Umepakuliwa mara 156 | Umetazamwa mara 844

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Epifania
- Katikati Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Usiku)
- Antifona / Komunio Kuzaliwa kwa Bwana (Mkesha)
- Antifona / Komunio Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Alfajiri)
- Antifona / Komunio Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Mchana)

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Leo amezaliwa kwa ajili yetu, mwokozi ndiye Kristu, Kristu Bwana. x2

1. Mwimbieni Bwana wimbo mpya, mwimbieni Bwana nchi yote, mwimbieni Bwana libarikini jina lake.

 

2. Tangazeni wokovu wake, wokovu wake siku kwa siku, wahubirini mataifa habari za utukufu wake, na watu wote habari za maajabu yake.

 

3. Mbingu na zifurahi, nayo nchi na ishangilie, Bahari ivume na vyote viijazavyo mashamba na yashangilie na vyote vilivyomo, miti yote ya mwituni iimbe kwa furaha.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa