Ingia / Jisajili

Leo ndipo mtakapojua ya kuwa Bwana atakuja

Mtunzi: Poi Tobiasi Mkwalakwala
> Mfahamu Zaidi Poi Tobiasi Mkwalakwala
> Tazama Nyimbo nyingine za Poi Tobiasi Mkwalakwala

Makundi Nyimbo: Majilio | Noeli

Umepakiwa na: Thobias Poi

Umepakuliwa mara 590 | Umetazamwa mara 1,473

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio Leo ndipo mtakapojua ya kuwa Bwana atakuja, naye atatuokoa; na asubuhi ndipo mtakapouona utukufu wake shairi la 1 Kesho dhambi ya ulimwengu itakomeshwa, Na Mwokozi wa ulimwengu atakuwa mfalme wetu. shairi la 2 Utukufu wa Bwana utafunuliwa, na wote wenye mwili watauona wokovu wa Mungu wetu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa