Mtunzi: Poi Tobiasi Mkwalakwala
> Mfahamu Zaidi Poi Tobiasi Mkwalakwala
> Tazama Nyimbo nyingine za Poi Tobiasi Mkwalakwala
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Anthem | Kristu Mfalme | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Thobias Poi
Umepakuliwa mara 698 | Umetazamwa mara 2,157
Download Nota Download MidiEe Bwana ulimwengu wote, u katika uweza wako, hakuna awezaye kukupinga ukipenda. Wewe umeumba yote, mbingu na nchi, na vitu vyote vya ajabu vilivyomo chini ya Mbingu. Wewe ndiwe Bwana wa yote (k)