Ingia / Jisajili

Ataniita Nami Nitamwitikia

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 17 | Umetazamwa mara 44

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

      ATANIITA NAMINITA MWITIKIA X 2  NITAMWOKOA NAKUMTUKUZA KWA SIKU NYINGI.NITAMSHIBISHA X 2 Fine.  1.Nitakuwa Pamoja Naye tabuni.kwa siku nyingi Nita mshibisha.                        2.Kwa kuwa amekaza kunipenda.nita mwokoa.na kumweka palipo juu.             3.Nitasema Bwana ndiye kimbilio langu na ngome yangu nitakaye mtumaini.






 


   


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa