Ingia / Jisajili

Heri Taifa Ambalo Bwana Ni Mungu Wao

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 36 | Umetazamwa mara 69

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Utatu Mtakatifu Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
HERI TAIFA (KWELI)AMBALO BWANA NI MUNGU WAO X2 (1) Kwa Kuwa neno la Bwana ni adili.na kazi yake yote huitenda Kwa uaminifu.Bwana huzipenda haki na hukumu.nchi Imejaa fadhili za Bwana.(2) Kwaneno la Bwana mbingu zilifajyika.najeshi lake lote KWA pumzi ya kinywa chake.Maana Yeye alisema.ikawa.ikasimama.(3) Tazama jicho la Bwana likwao wa mchao.wazingojea fadhili Zake .Yeye huwapijya nafsi zao na mauti.na kuwahuisha wakati wa njaa.(4) Nafsi zetu Zina mgoja Bwana .Yeye ndiye msaada wetu na be ngao YETU.Ee Bwana fadhili zako zikae nasi.kamavile tulivyo kungoja wewe.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa