Ingia / Jisajili

Leo Tunafurahi

Mtunzi: Fransis norbert
> Mfahamu Zaidi Fransis norbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Fransis norbert

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Fransis Norbert

Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Leo tunafurahi sote kwa jubilei hii, tuishangilie kwa nyimbo za shangwe tupige magoti tumshukuru Mungu wetu

1. Ni miaka ishinatano tangu kuzaliwa kwa parokia yetu, njoni tumwimbie Bwana tumfanyie shangwe.

2. Ni siku ya kutafakari juu ya ukuu wa Mungu na baraka zake, tupige vigelegele tumfanyie shangwe


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa