Ingia / Jisajili

Leta Mkono Wako

Mtunzi: Gregory J.A Mdalingwa
> Mfahamu Zaidi Gregory J.A Mdalingwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Gregory J.A Mdalingwa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Gregory J.A. Mdalingwa

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Leta mkono wako uutie ubavuni mwangu, Wala usiwe asiye amini bali aaminiye Aleluya 

Mashairi (Maimbilizi)

1. Tomaso akamjibu akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu

2. Yesu akamwambia, kwa kuwa wewe umeniona umesadiki, wa heri wale wasioona wakasadiki


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa