Ingia / Jisajili

Maagizo

Mtunzi: Yudathadei Chitopela
> Mfahamu Zaidi Yudathadei Chitopela
> Tazama Nyimbo nyingine za Yudathadei Chitopela

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 627 | Umetazamwa mara 2,893

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(Ma-agizo ya bwana niyaadili maagizo (ma-agizo ) ya Bwana ni ya adili) x2
(Huufurahisha huufurahisha moyo, huufurahisha huufurahisha moyo )x2
 
  1. Sheria ya bwana nikamilifu, huiburudisha huiburudisha nafsi, Ushuhuda wa bwana ni amini, humtia mjinga  humtia mjinga hekima.
     
  2. Kicho cha bwana ni kitakatifu, Kinadumu kinadumu milele, Hukumu za bwana niza kweli, hukumu za bwana zina haki kabisa.
     
  3. Tena mtumishi mtumishi wako huonywa kwazo katika kuzishika, Kunathawabu nyingi ni nyingi ninani awezaye kutambua makosa yake?
     
  4. Umzuie mtumishi wako asitende mambo mambo ya kiburi, Ndipo nitakapo kuwa kamili naminitakuwa safi safi bila kosa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa