Mtunzi: Benezeth T. Mpupe
> Mfahamu Zaidi Benezeth T. Mpupe
> Tazama Nyimbo nyingine za Benezeth T. Mpupe
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,607 | Umetazamwa mara 5,043
Download Nota Download MidiMacho yangu humwelekea Bwana daima naye atanitoa miguu yangu katika wavu, Bwana ( Uniangalie nakunifadhili maana mimi ni mkiwa na mteswa) 2.
Mashairi:
1(a) Katika shida za moyo wangu Bwana, unifanyie nafasi.
1(b) Utazame teso langu Bwana unisamehe, dhambi zangu.
2 (a) Uwasamehe adui zangu Bwana, wanichukiao kwa ukatili.
2 (b) Unilinde nafsi yangu Bwana nisiaibike milele