Ingia / Jisajili

Macho Yangu

Mtunzi: Joseph Makoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Makoye

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 5,812 | Umetazamwa mara 9,746

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Macho yangu humwelekea Bwana daima, naye atanitoa miguu yangu katika wavu.

(Uniangalie na kunifadhili maana mimi ni mkiwa na mteswa) x 2

  1. Bwana yu mwema na ni mwenye adili, kwa hiyo atawafundisha wenye dhambi njia.
  2. Ee Bwana kwa ajili ya jina lako, unisamehe uovu wangu kwani ni mwingi.

Maoni - Toa Maoni

Abel Aug 28, 2019
Baba uko vizuri piga kaz, kazi nzur sana unayoifanya Mungu akusaidie kuyafikia makao yake kwa kipaji chako???

Toa Maoni yako hapa