Ingia / Jisajili

Nitaimba Siku Zote Wa Yesu Moyo Mkuu

Mtunzi: Joseph Makoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Makoye

Makundi Nyimbo: Moyo Mtakatifu wa Yesu

Umepakiwa na: Fanikio Lindi

Umepakuliwa mara 5,547 | Umetazamwa mara 10,835

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitiio:

Nitaimba siku zote kwa Yesu Moyo Mkuu, kuliko vitu vyote nitapenda moyo huu x 2

Mashairi:

  1. Ee Moyo Mtakatifu wa Yesu Mungu wangu, nakuja kukusifu kwa hizi nyimbo zangu.
     
  2. Ee Yesu Msalabani huchomwa ubavuni, nitoke utumwani niupate uhuru.
     
  3. Kwa nini nikapenda furaha za dunia? Kwa nini sikuenda kwa Yesu kulia?
     
  4. Naomba kitu kwako Ee Yesu nisikie, katika moyo wako kukaa nijalie.


Maoni - Toa Maoni

Anold raphael massawe Oct 22, 2018
nashukuru sana na ninabarikiwa sana na huduma hii mungu awabariki

jules koji Jul 07, 2017
pongeza

Salome Thomas Jul 08, 2016
Huwa Nabarikiwa Sana Na Nyimbo Za Kikatoliki, Mungu Atubariki Sana! Tumsifu Yesu Kristu,,,

Toa Maoni yako hapa