Ingia / Jisajili

Macho Yetu Humwelekea Bwana

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 126 | Umetazamwa mara 482

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 14 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MACHO YETU HUMWELEKEA BWANA MUNGU WETU.HATA ATAKAPOREHEMU X2. (1).Nimekuinulia Macho yangu.Wewe uketiye Mbinguni. Kama vile Macho ya watumishi kwa mkono wa Bwana zao. (2)Kama Macho ya mjakazi kwa mkono wa Bibi yake.Hivyo macho yetu humwelekea BWANA MUNGU wetu. Hataatakapo turehemu.(3).Uturehemu EE Bwana .Uturehemu sisi.kwa MAANA tukeshiba dharau.Nafsi zetu zikeshiba mzaha wa wenye raha. Na dharau ya wenye kiburi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa