Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Michael Makingi
Umepakuliwa mara 53 | Umetazamwa mara 48
Download Nota Download MidiTwende tupeleke tupeleke vipaji vyetu Kwa Bwana. Twende tupeleke vipaji vyetu tukampe Bwana x2 Kwa maana yeye ndiye mungu mpaji wetu
ndiye ametupa vyote hivi tulivyo navyo (basi nasi Kwa Upendo twende tumtolee tukatoe Kwa Upendo kamashukurani zetu. Twende tupeleke vipaji vyetu tukampe Bwana. 1.Tunaleta kwako Ee Bwana vipaji vyetu vya Leo nimazao yetu ya mashambani. Twakuomba Ee Bwana uvipakee vipaji vyetu. 2.Ee Bwana tunakutolea kwaupendo vipaji vyetu. Tumeziandaa wiki nzima. Twakuomba Ee Bwana.Uvipokee vipaji vyetu. 3.(A) Vyote tulivyo navyo Ee Bwana wewe ndiye umeviumba. (B) Kwa wema wako vyote umetugawia tuvitumie. Nasi Kwa Upendo mkubwa Bwana twakutolea vipaji vyetu. 4.(A)Kwa wema wako mkubwa Ee Bwana mungu mpaji Wa vyote.
(B) Umetupa akili. Mali pumzi na nguvu za kufanya Kazi . Na afya nzuri ya kutosha.hayo nimapenzj yako kwetu sisi.nasi Ee Bwana twakutolea vipaji vyetu kama shukrani zetu.
Nasi Ee Bwana twakutolea vipaji vyetu kama shukrani zetu.