Ingia / Jisajili

Mahujaji Katika Matumaini

Mtunzi: CarlesJr
> Mfahamu Zaidi CarlesJr
> Tazama Nyimbo nyingine za CarlesJr

Makundi Nyimbo: Anthem | Mafundisho / Tafakari | Miito

Umepakiwa na: Charse Cales

Umepakuliwa mara 22 | Umetazamwa mara 44

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Salamu Salamu Kwako Mkristo Mkatoliki, Pokea pokea Hii salamu yetu ya JUBILEI*2

Jubilei ishirini Ishirini na tano(nijubilei ya) mahujaji katika matumaini *2

1. Imetimia miaka 2025 toka tulipo ianza safari ya ukatoliki, Haya haya haya tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya ukatoliki

2.Muasisi Bwana Yesu kawakabidhi mitume, wakasimamisha kanisa moja lililo thabiti

3. Unversary*4 jubilei*3 ni jubilei ya wakatoliki


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa