Ingia / Jisajili

Maji Ya Baraka

Mtunzi: Furaha Mbughi
> Mfahamu Zaidi Furaha Mbughi
> Tazama Nyimbo nyingine za Furaha Mbughi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Ubatizo

Umepakiwa na: Furaha Mbughi

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

MAJI YA BARAKA (F.Mbughi)

Maji ya Baraka tunayonyunyiziwa (maji) yawe ukumbusho wa ubatizo wetu, yafukuze ubaya wote na kuondoa mittego ya shetani na roho zetu zitakaswe tupate uzima wa milele x2

1. Maji haya, yatupatie neema zako, na ulinzi dhidi ya magonjwa na mitego ya shetani.

2. Maji haya, kwa ajili ya wokovu wetu, ili tuweze kukujongea wewe kwa mioyo safi.

3. Maji haya, yawe faraja ya roho zetu, nazo nguvu katika mioyo yetu iliyo dhaifu.

4. Maji haya, yausafishe uovu wetu, tujaliwe kushiriki furaha ya wabatizwa wote.



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa