Ingia / Jisajili

Majira Mambo Yote

Mtunzi: Regani Massawe
> Mfahamu Zaidi Regani Massawe
> Tazama Nyimbo nyingine za Regani Massawe

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: REGANI MASSAWE

Umepakuliwa mara 127 | Umetazamwa mara 538

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Majira mambo yote yalipokua kimya, na usiku ulikua katikati ya mwendo wake mwepesi, neno wako Mwenyezi Mungu alishuka kwetu kutoka kiti chako cha kifalme. 1. Ndiye afanyaye amani mipakani mwako akushibishaye kwa unono wa ngano 2. Huipeleka amri yake juu ya nchi neno lake lapiga mbio, mbio sana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa