Ingia / Jisajili

Majukumu Katika Familia

Mtunzi: Ponera
> Tazama Nyimbo nyingine za Ponera

Makundi Nyimbo: Mwaka wa Familia (2014) | Noeli

Umepakiwa na: Severine Fabian

Umepakuliwa mara 571 | Umetazamwa mara 601

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Baba mama na Watoto Wao ni Familia Kamili na Hao wote ni muhimu Katika Kujenga Kanisa La Yesu. Katika Kujenga Kanisa La Mungu Ujenzi Huanza Nyumbani na Kupeana Majukumu muhimu Kila Mmoja Na Lake Mama Awe Katekista na Baba Awe Padre x2 Watoto Wawe Ubao Kufundishia Wengine Ili wengineo Wajifunze Kuishi Maisha Mema x2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa