Mtunzi: Ponera
> Tazama Nyimbo nyingine za Ponera
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Joseph Isaya Mwakapila
Umepakuliwa mara 4,057 | Umetazamwa mara 7,965
Download NotaSipendi (Sipendi) kuwaacha waende (bila kula) wakazimia njiani x2
1. Tutawapa nini watu hawa na hapa ni nyikani nasi hatuna cha kutosha kuwashibisha
2. Hapa tunayo mikate saba na visamaki vichache hata hivyo haitoshi kwa mkutano huu
3. Yesu akatwaa mikononi ile mikate saba na wale samaki kawabariki na kuwapa wale
4. Wakala wote wakashiba mpaka wakasaza wakakusanya mabaki makanda saba