Ingia / Jisajili

Makusudi Ya Moyo Wake

Mtunzi: Joseph Selestine
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Selestine

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Stephen Kagama

Umepakuliwa mara 719 | Umetazamwa mara 1,983

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Moyo Mtakatifu wa Yesu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Makusudi ya moyo wake ni ya vizazi na vizazi ×2 1.yeye huwaponya nafsi zao na mauti na mauti na kuwahuisha wakati wa njaa 2.heri taifa ambalo Mungu wake ni mwenyezi Mungu yeye aliyewachagua kama watu wake mwenyezi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa