Mtunzi: Frt Norbert Nyabahili
> Mfahamu Zaidi Frt Norbert Nyabahili
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt Norbert Nyabahili
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Ivan Kahatano
Umepakuliwa mara 963 | Umetazamwa mara 3,695
Download Nota Download MidiKIITIKIO: Malaika Mtakatifu yuko kando ya altare , akiwa ameshika chetezo cha dhahabu akiizunguka altare akifukiza ubani
MASHAIRI: 1.Ee Mungu tunakusihi upokee sala zetu, tunazoku-tolea mbele ya madhahabu
2.Sala zetu zipae kama moshi wa u-bani, tunakusihi Ee Baba pokea sala zetu.