Mtunzi: F. B. Mallya
> Tazama Nyimbo nyingine za F. B. Mallya
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: EXAVERY NGONYANI
Umepakuliwa mara 724 | Umetazamwa mara 2,697
Download NotaMUSIC BY: F.B. MALLYA
28.09.2011
WORDS: S MAJI
Ewe mama Maria mama yetu Imakulata mpatanishi wetu mwema uliye mzazi Mtakatifu wa Mwokozi Bwana wetu, Bwana wetu Yesu Kristu utuombee kwa mwanao Bwana wetu Yesu kwa mwanao Bwana wetu Yesu Kristu x 2
1. Kwa maombezi yake Mama sisi wanao tuepukane na mitego na maoteo ya shetani
2. Utuombee Bwana tukinge na mwovu shetani anayezunguka duniani pote kupotosha roho za wana wako
3. Kwa maombezi yako tuyafanye mema yote tutakayoamriwa tutakwenda pote utuongozapo ili tuungane nawe Mama yetu