Ingia / Jisajili

Toba Rabbi Nionee Huruma

Mtunzi: F. B. Mallya
> Tazama Nyimbo nyingine za F. B. Mallya

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: EXAVERY NGONYANI

Umepakuliwa mara 903 | Umetazamwa mara 3,499

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
 1. Toba Rabbi tuonee huruma, sigeuke siwe uso mkali
  Tuletee ya wokovu neema, tutakate tuone ya pili

  Mungu mwokozi Mungu mwema, angalia machozi tuponye salama 
   
 2. Toba rabbi twaogopa hakiyo,tukakosa twaungama
  Twelekee tuonye hurumayo,leo bado utuwie mwema!
   
 3. Toba Rabbi, kwe tuliotenda madharau maovu mengi mno
  Tumetubu twaomba msaada, tusivunje yetu maagano.
   
 4. Toba Rabbi, dhambi zikatoboa, moyo wakosadaka ya watu
  Leo kwako, sisi twakimbilia, tutulizwe, uwe raha yetu.

Maoni - Toa Maoni

jesca Mar 02, 2017
Wimbo naupenda sana, Ahsante kwa kuuweka humu

Toa Maoni yako hapa