Mtunzi: Bategereza
> Tazama Nyimbo nyingine za Bategereza
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 5,010 | Umetazamwa mara 9,643
Download Nota Download Midi1. Mama pale msalabani macho yatoka machozi (akimwona Mwanae) x2.
2. Kweli vile akilia, Uchungu kama upanga (Ukampenya moyowe) x2.
3.Mwenye Moyo mgumu nani asimhurumie basi, ( Mama mlilia mwana)
4. Ewe Mama Mtakatifu usulibiwe na Yesu (Moyo wangu mi mwenye dhambi) x2.
5. Naye mwokozi niteswe na madonda nigawie (Pamoja na Mkombozi) x2.
6. Nisimame msalabani, Niwe nami wako mwenzi (Wa Uchungu na msiba) x2.
7. Nisianguke motoni, Uniwie msimamizi (Ewe mwokozi wangu) x2.
8. Msikilize Mamabyako, Niponye siku ya mwisho (Ewe mwokozi wangu) 2.