Mtunzi: Bategereza
> Tazama Nyimbo nyingine za Bategereza
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 5,326 | Umetazamwa mara 8,908
Download Nota Download MidiNitaondoka, Nitaondoka nitakwenda kwa Baba yangu x2, Nakumwambia Baba, Baba Baba nimekosa juu ya mbingu na mbele yako x 2.
Mashairi:
1. Tufuate mfano wa mwana mpotevu alipofahamu makosa yake aliyasema.
2. Tufuate mfano wake Simoni Petro aliyemkana Bwana Yesu naye akatubu.
3. Ewe Mungu wangu nisaidie mimi ninapofahamu makosa yangu na miniseme.