Mtunzi: France Kihombo
> Mfahamu Zaidi France Kihombo
> Tazama Nyimbo nyingine za France Kihombo
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: France Kihombo
Umepakuliwa mara 1,183 | Umetazamwa mara 4,128
Download Nota Download Midi
1.(a) Mama Maria mama yetu mwema mama twakushangilia mama
(b) Ndiwe mwombezi Mama kimbilio letu mama twakushangilia mama
Kiitikio:
Umeleta wokovu kwa njia ya mwanao umekua daraja kati yetu na kristu tunajivunia
(mama yetu mama hima njooni wote njooni tumshangilie. ) x 2
2. a) Ndiwe kioo (mama) kioo cha haki (mama) Twakushangilia (mama)
b) Ndiwe msaada (mama) kwetu wakosefu (mama) twakushangilia mama Umeleta wokovu………….
3. a)Wewe ni mbegu (mama) ya Kristu wetu (mama) Twakushangilia (mama)
b) U tegemeo (mama) mtetezi wetu (mama) Twakushangilia (mama) Umeleta wokovu…………….
4.(a) Malkia wetu (mama) mama wa Rozari (mama) twakushangilia mama
(b)Amani yetu (mama) na upendo wetu(mama) twakushangilia (mama) Umeleta wokovu....................