Mtunzi: EVARIST CHUWA
> Mfahamu Zaidi EVARIST CHUWA
> Tazama Nyimbo nyingine za EVARIST CHUWA
Makundi Nyimbo: Anthem | Mwanzo
Umepakiwa na: Evarist Chuwa
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 3 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 3 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 3 Mwaka C
Na. EVARIST CHUWA
Maombi yangu na yafike mbele zako utege ukelele wangu sikio lako
1.Ee bwana Mungu wa wokovu wangu, mchana na usiku nimelia mbele zako.
2. Maana nafsi yangu umeshiba tabu, na uhai wangu umekaribia kuzimu.