Mtunzi: EVARIST CHUWA
> Mfahamu Zaidi EVARIST CHUWA
> Tazama Nyimbo nyingine za EVARIST CHUWA
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Evarist Chuwa
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 3
Download NotaAleluya aleluya, mshukuruni bwana Kwa zeze na vinubi, Kwa kinanda Cha nyuzi kumi, lisifuninjina lake. Tunakushukuru Mungu wetu unayetulinda sisi mchana na usiku, tunalihimidi jina lako wewe uliye mtukufu