Ingia / Jisajili

Maombi Yangu

Mtunzi: Aron Sambaya
> Mfahamu Zaidi Aron Sambaya
> Tazama Nyimbo nyingine za Aron Sambaya

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: ARON SAMBAYA

Umepakuliwa mara 908 | Umetazamwa mara 3,015

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 32 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Maombi yangu yafike mbele yako uutegee ukelele wangu,uutegee ukelele wangu sikio lako×2 1.Ee Bwana Mungu wa wokovu wangu ninakulilia mchana na usiku 2.Nimehesabiwa na washukao chini mtu asiye na msaada

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa