Mtunzi: Aron Sambaya
                     
 > Mfahamu Zaidi Aron Sambaya                      
 > Tazama Nyimbo nyingine za Aron Sambaya                 
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: ARON SAMBAYA
Umepakuliwa mara 754 | Umetazamwa mara 2,600
                    Wimbo huu unaweza kutumika: 
                                            - Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka C
                                    
Bwana asema Mimi ni wokovu wa watu (wa watu) Mimi ni wokovu wa watu×2.wakinililia katika taaabu yoyote nitawasikiliza×2 1.nitakua Bwana wao nao watakua watu wangu asema Bwana 2.Ee nafsi yangu umhimidi Bwana kila wakati,milele yote