Ingia / Jisajili

Maombi yangu yafike

Maneno ya wimbo

Maombi yangu yafike mbele zako Ee BWANA, Uutegee ukelele wangu Ee BWANA, BWANA unisikie, mimi ni mja wako, nifike palipo na ahadi ya milele.

1:Maana nafsi yangu, imeshida taabu, na uhai wangu unakaribia kuzimu.

2:Nimehesabiwa, pamoja nao washukao shimoni wasio na msaada.

3:Miongo ni mwao, wale walokufa, nimetupwa na kulala hapa kaburini.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa