Ingia / Jisajili

Aleluya No 03 Mariam Akasema

Mtunzi: Ezekiel mwalongo
> Mfahamu Zaidi Ezekiel mwalongo
> Tazama Nyimbo nyingine za Ezekiel mwalongo

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: Ezekiel Mwalongo

Umepakuliwa mara 39 | Umetazamwa mara 48

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya x2

Mariam akasema Tazama mimi ni mjakazi wa Bwana na iwe kwangu kama ulivyo sema (kisha malaika akaondoka akaenda zake)x2


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa