Ingia / Jisajili

Mataifa Yote

Mtunzi: Seraphin T.m.kimario
> Tazama Nyimbo nyingine za Seraphin T.m.kimario

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Joseph Rumanyika

Umepakuliwa mara 500 | Umetazamwa mara 1,632

Download Nota
Maneno ya wimbo
  • Kiitikio
  • Mataifayote ya ulimwengu yatakusujudia Ee Bwanax2


  • Maimbilizi
    • 1. Ee Mungu umpe mfalme hukumu zako, na mwana wa mfalme haki yako
    •      atawaamua watu kwa haki na watu wako walioonewa kwa hukumu

  • 2. Siku zake yeye mtu mwenye haki atasitawi, na wingi wa amani hata mwezi utakapokoma
  •     na awe na enzi toka bahari hata bahari, toka mto hata miisho yote ya dunia.

  • 3. Wafalme wa Trashishi na Viswa vilete kodi, wafalme wa Sheba na Seba na watoe vipawa
  •      naam wafalme wote na wamsujudie, na mataifa yote wamtumikie

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa